Programu
Njia nne za kurejesha maisha.
Kutoka marekebisho ya fikra hadi uwezeshaji wa kiuchumi — kila programu ina lengo maalum.
03 — Programu na Shughuli
Njia nne za kurejesha maisha.
Kila programu inashirikiana na taasisi za marekebisho, serikali, jamii na familia kufikia matokeo endelevu.
A — Marekebisho na Urejeshaji
Maisha Baada ya Gereza
- Mafunzo ya mabadiliko ya fikra na tabia
- Programu ya “Maisha Baada ya Gereza”
- Ushauri nasaha wa kisaikolojia na kiroho
- Mentorship na uongozi wa maisha
B — Elimu na Kuzuia Uhalifu
Elimu kwa Jamii na Vijana
- Semina, makongamano na kampeni za elimu
- Elimu kwa vijana mashuleni na jamii
- Kampeni za amani, maadili na uwajibikaji
C — Uwezeshaji wa Kiuchumi
Ujuzi, Ajira na Mitaji
- Mafunzo ya ufundi stadi na ujasiriamali
- Kuunganisha walengwa na fursa za ajira
- Msaada wa vifaa vya kazi na mitaji midogo
D — Haki, Utafiti na Ushirikiano
Utetezi na Ushahidi
- Kliniki za msaada wa kisheria
- Tafiti kuhusu mfumo wa marekebisho
- Utetezi wa maboresho ya sera na sheria
- Uratibu wa ushirikiano wa wadau
04 — Walengwa
Tunafanya kazi na watu waliopo katikati ya mabadiliko.
Wafungwa waliopo magerezani
Waliowahi kufungwa
Vijana walio katika mazingira hatarishi
Watu waliotengwa kijamii
Familia za wafungwa na waliowahi kufungwa
Jamii kwa ujumla